MFANO WA MPANGILIO WA MANENO KATIKA KAMUSI


 MFANO WA MPANGILIO WA MANENO KATIKA KAMUSI.

Maneno yanayoingizwa katika kamusi hupangwa kwa utaratibu wa alfabeti,.maneno yanayoanza na herufi ‘A”yote huwekwa chini ya herufi ”A’’hivyo hivyo kwa maneno yanayoanza na herufi b,ch,d,hadi z. Maneno yanayoanza na herufi fulani nayo hupangwa katika utaratubu wa alfabeti kwa kuzingatia herufi ya pili,ya tatu,nne au tano ya neno. Mfano jabali,jabiri,jadhibika,na jadi, n[b] kwa kuwa [b] hutanguliwa na [d] katiaka mapangilio wa alfabeti maneno yenye[b] huorodheshwa kwanza kabla yale yenye [d] kwa vile maneno yenye [b] ni mawili itabidi tutazame herufi ya nne ya maneno hayo ili kucha6gua neno jabali utaorodhesha kabala ya jabiri kwa kuwa [∂ ] herufi ya nne kwenye jabali hutangulia [ i] ya jabiri ambayo pia ni herufi ya nne , kisha tunatazama maneno yenye [d] kama  herufi ya tatu.hapa tunaangilia pia herufi ya nne ili kubaini neno litakaloandikwa mwanzo kati ya jadhibika au jadi  kwa kuwa [h] hutangulia [i] basi jadhibika litaorodheshwa mwanzo na kufuatiwa na jadi

No comments:

Post a Comment

MATUMIZI YA KAMUSI

MATUMIZI YA KAMUSI NI MUHIMU SANA KWA WATUMIAJI WA LUGHA HUSIKA KWA SABABU HUKUZA LUGHA YA MTUMIAJI