UMUHIMU / MATUMIZI YA KAMUSI
Kamusi ina matumizi mengi mengi katika kumuwezesha msomaji kuweza kufanya kazi zake kwa ufanisi wa hali ya juu .miongoni mwa matumizi ya kamusi ni kama yafuatayo
1. Kamusi huonesha tahajia (spellings) za maneno.
2. Kamusi husaidia kuonesha asili ya neno.
3 Kamusi husaidia kuonesha matamshi shahihi ya maneno.
4 Kamusi hueleza maana (fasili) mbalimbali ya maneno.
5 Kamusi huonesha misemo,semi,misimu,na methali mbali mbali.
6 Kamusi husaidia kuongeza maarifa zaidi kuhusu lugha ya mzungumzaji.
7 Kamusi husaidia kujifunza lugha za kigeni.
No comments:
Post a Comment