MAANA YA KAMUSI


NINI MAANAYA KAMUSI?                                                                                                        

Kamusi ni kitabu chenye   orodha ya maneno mbalimbali yaliyopangwa vizuri kwa kufuata alfabeti na kutoa faarifa mbalimbali kama vile maana na matamshi

Au

Kamusi ni ni kitabu cha orodha ya maneno katika lugha ,yaliyopangwa kwa utaratibu  maalum pamoja na maana au fsili zake.

No comments:

Post a Comment

MATUMIZI YA KAMUSI

MATUMIZI YA KAMUSI NI MUHIMU SANA KWA WATUMIAJI WA LUGHA HUSIKA KWA SABABU HUKUZA LUGHA YA MTUMIAJI